Furahia Hizi Picha Jay Z, Drake, Rick Ross, P Diddy na Chris Brown wakiwa wametokea kama machifu wa Nigeria UTAZIPENDA? - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Furahia Hizi Picha Jay Z, Drake, Rick Ross, P Diddy na Chris Brown wakiwa wametokea kama machifu wa Nigeria UTAZIPENDA?

DRAKE
Ubunifu wa michoro umekuwa maarufu sana siku hizi na ni kitu kinachovutia… najua hawa mastaa wote hawajawahi kuonekana wakiwa na mavazi ya kiafrika, pata picha eti Chris Brown anatupia nguo za kiafrika itakuwaje??!! Hapa nimepata picha za ubunifu ambazo wanaonekana Drake, Jay Z, P Diddy, Rick Ross na Chris Brown kwenye muonekano wa nguo ambazo mara nyingi tumeziona wakivaa Wanigeria.
Huyu Ni Chris Brown 

JAYZ HAPA VIPI?

P DIDDY 

RICK ROSS 

-jimmcarter
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.