Chuchu Hans Akanusha Habari za Kuwa Yeye ana Ugomvi na Johari Sababu ya Ray - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Chuchu Hans Akanusha Habari za Kuwa Yeye ana Ugomvi na Johari Sababu ya Ray

Mrembo na mwigizaji wa filamu za bongo amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu  Johari aliyekuwa mpenzi wa Ray kabla yake na kujibu kuhusu uvumi uliyokuwa kwenye mitandao kuwa wana beef kubwa.
Chuchu Hans amedai kuwa yeye hakuwahi kuwa na ugomvi na Johari bali ni ulikuzwa tu na mitandao amedai yeye anachojua ni kuwa Johari na Ray ni Business Partner hivyo hawezi kuwaingilia katika kazi na anauheshimu uhusiano huo...
Pia ameongeza kuwa Ray anapenda sana watoto hivyo anawalea watoto wake wawili aliopata kwa bwana mwingine kama watoto wake.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.