Alikiba Azungumzia Tuhuma Kuhusu Diamond Kuzuia Nyimbo MTV BASE. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Alikiba Azungumzia Tuhuma Kuhusu Diamond Kuzuia Nyimbo MTV BASE.

Baada taarifa kusambaa kwe ye mitandao ya kijamii ikisemekana Diamond Platnumz kuwa ndio anayehakiki kazi za wanamuziki wa Bongo ili ziweze kuchezwa MTV Base, sasa mwanamuziki Alikiba amefunguka hivi.
“Nitawaambia ukweli ambao unaohusu that it, kama ni kweli watakuwa wanakosea na sidhani kama ni sawa coz watakuwa hawapo fair.”Alikiba
“Hajabeba talent ya kila mtu, kila mtu ana talent yake, ana haki ya kuonyesha kazi yake coz kila mtu anafanya business ya muziki sasa hivi sio mtu anafanya masihara, na unapomuona mtu anafanya video yake anagharamikia so haipendezi na sidhani kama ni kweli.” Alikiba.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.