2Face wa Nigeria Abadili jina Rasmi, Jina Lake Jipya Ni Hili Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

2Face wa Nigeria Abadili jina Rasmi, Jina Lake Jipya Ni Hili Hapa

Si kazi ngumu kwa watu maarufu kubadili majina yao lakini huwa ni kazi ngumu au tuseme inachukua muda kwa jina jipya kulifunika moja kwa moja jina la zamani.

2face and vee money-2
2baba akiwa na Vanessa Mdee

Staa wa Nigeria, Innocent Ujah Idibia maarufu kwa jina la 2face ametangaza kubadili jina rasmi, au kibiashara tunaweza kusema ameji ‘re-brand’, sasa anataka aitwe ‘2baba’.
Taarifa hiyo aliitoa Jumamosi ya January 9 kupitia Twitter.
2face 2baba amebadili jina lake pia kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii Twitter na Instagram.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.