Yemi Alade Aliwahi Kuimba Kwenye Show za Bure Zaidi ya 300 Kabla Hajawa Maarufu. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Yemi Alade Aliwahi Kuimba Kwenye Show za Bure Zaidi ya 300 Kabla Hajawa Maarufu.

Bet Sasa
Mafanikio kwenye muziki huwa hayaji kirahisi wala kwa muda mfupi. Mmoja wa waimbaji wakubwa wa Afrika, Yemi Alade kutoka Nigeria amesema kuwa aliwahi kuimba kwenye show za bure zaidi ya 300 kabla hajawa msanii mkubwa.
yemi-alade
Yemi aliyejipatia umaarufu mkubwa sehemu nyingi za Afrika kupitia hit song yake ‘Johnny’, amegusia sehemu ya historia yake ya kimuziki katika mahojiano na kituo cha radio Beat Fm cha Nigeria.
“It wasn’t easy in the beginning. I performed at over 300 free shows before I came this big. I didn’t have use to have money for studio sessions. It was that bad.” Alisema Yemi Alade.
Video yake ya ‘Johhny’ hadi sasa ina views zaidi ya milioni 32 ikiwa ni mwaka mmoja na miezi 9 toka ilipowekwa YouTUBE, hii pia inathibitisha ukubwa alionao.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.