Wema Sepetu Apania Kuiteka Bongo Kwa Kitu Hiki Kipya, Utaipenda Hii ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Wema Sepetu Apania Kuiteka Bongo Kwa Kitu Hiki Kipya, Utaipenda Hii !

Baada ya kuzindua lipstick zake, Kiss By Wema Sepetu, malkia huyo filamu nchini, amepanga kuingiza sokoni perfume yake pamoja na bidhaa zingine za urembo.
Wema Sepetu akionyesha Lipstick
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Wema apost picha yake na kuandika:
I think this should be my colour ya lipstick wen it comes to my brand Kiss. Naipenda coz it just makes me feel good nikiipaka…. For a very long time nimekuwa nikitaka sana kuwa na kitu kitacho carry jina langu la Wema Sepetu… I thought of perfume at first ila huko nikahisi ni parefu sana but inshallah hakunaga kubwa ukimtanguliza Mungu katika jambo lako na haswa likiwa jambo la kheri…. but sababu napenda urembo nikawaza nifanye kitu kiatakacho reflect kwenye urembo na wazo la kwanza lililonijia katika kichwa ni my Kissable Lips. So hapo hapo nikasema why not make a Lipstick kuzifanya kissable lips zangu zizidi kuvutia na ziweze kuwafanya na my fellow sisters pia wawe na muonekano mzuri.Tumeanza na lipstick jamani… Mdogo mdogo ndo mwendo. Inshallah kale ka makeup box ketu ambacho wadada hatukosagi kwenye handbag zetu katakuwa na virutubisho vyote vya uso wako kwanzia foundation mpaka wanja vikiwa na jina la your sweetheart Wema Sepetu….. Tuombeane Kheri and like I said hakunaga kubwa kwa Allah….. Tukutane kesho wapendwa.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.