Wastara: Huyu Jamaa Nampenda Mfano Hakuna, Anafanana Vingi na Sajuki - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Wastara: Huyu Jamaa Nampenda Mfano Hakuna, Anafanana Vingi na Sajuki

Bet Sasa
Mama na mwana mama na baba nimeipenda kama ilivyo ila kiukweli huyu jamaa nampenda mfano hakuna, mpole muelewa hana makuu anao ubinadaamu hana ugomvi na mtu, mpole ajui kufoka wala kugombana akikasirika dk 2 tu anarudi kuwa normal. Sichoki kufanya nae kazi namchukulia ni mdogo wangu wa tumbo moja namfananisha vitu vingi na Sajuki si mwingine ni      Yusuph Mlela au Mlelandro.
Hayo ni maneno ya mwigizaji Wastara Juma kwenye moja ya post zake kwenye mtandao picha wa instagram mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu akiwa Yusuph Mlela.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.