Video: Davido na Wizkid Watumbuiza Pamoja Kwenye Jukwaa 1 Huko Lagos, Nigeria - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Davido na Wizkid Watumbuiza Pamoja Kwenye Jukwaa 1 Huko Lagos, Nigeria

Mastaa wa muziki wa Nigeria, Davido na Wizkid wamethibitisha kumaliza kabisa tofauti zozote zilizowahi kuwepo kati yao, baada ya kutumbuiza pamoja jukwaani kwenye show iliyofanyika Alhamisi Dec.3, 2015 jijini Lagos.
Tazama Video Hapa Chini .
Kwa mujibu wa video iliyosambaa ya show hiyo ya club, Davido ndiye aliyekuwa wa kwanza kupanda jukwaani na kuimba wimbo wake wa ‘Dami Duro’, na wakati wimbo unaelekea kuisha ghafla Wizkid alitokea upande wa mashabiki na kuvutwa mkono na Davido kupanda jukwaani, wakaendelea kuimba pamoja nyimbo zote zilizofata bila kushuka.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.