UPDATES..Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea Apandishwa Kizimbani..Asomewa Shitaka Hili.. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

UPDATES..Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea Apandishwa Kizimbani..Asomewa Shitaka Hili..

Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea anafikishwa mahakamani Kisutu muda huu.
Huku ni kuiongezea mahakama mrundikano wa kesi zisizo na kichwa wala miguu
Kwa mtindo huu lazima Makonda ajitafakari mara mbili mbili

=============
UPDATES;
Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amesomewa shitaka la lugha ya matusi kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda. Kesi imehairishwa mpaka Des 29, ameachiwa kwa dhamana.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.