TCRA imetoa miezi sita hadi June 16, 2016 kuzifunga simu zote feki Tanzania - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

TCRA imetoa miezi sita hadi June 16, 2016 kuzifunga simu zote feki Tanzania

TCRA imetoa miezi Sita hadi June 16, 2016 kuzifunga simu zote feki Tanzania.
Hakiki namba yako mapema (angalia video) ukigundua simu yako ni feki ibadilishe kabla ya June 2016! Chukua hatua usisubiri.
Utaratibu huu pia utasaidia kufunga simu iliyoibiwa Au kupotea. Ukiibiwa simu yako toa taarifa Polisi, chukua RB na toa taarifa kwa mtoa huduma wako. 
Simu itafungwa ndani ya saa 24! 
Haitaweza kutumika tena!

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.