Tanesco Wataja Kiasi Wanachomdai Wema Sepetu Kufuatia Kuiba Umeme ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Tanesco Wataja Kiasi Wanachomdai Wema Sepetu Kufuatia Kuiba Umeme !

12357642_109000819472059_1048138282_n
Tanesco wapo sambamba na mwigizaji Wema Sepetu ambaye anadaiwa kuiba umeme.
Hivi karibuni walifanya ziara ya kushtukiza kwenye nyumba yake na kubaini kuwa muigizaji huyo anatumia umeme wao bure.
Jana Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Eng. Felichesmi Mramba alizungumza na waandishi wa habari na kutaja kiasi cha fedha kitakachopatikana kutokana na faini waliyowapiga wezi mbalimbali wa umeme.
20151219011221
Imebainika kuwa Wema Sepetu anadaiwa shilingi 8,200,496.20.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.