Tabia Za Wanawake Kulingana na Maumbile Yao. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Tabia Za Wanawake Kulingana na Maumbile Yao.

Bet Sasa
Tafiti mbalimbai zinaonesha baadhi ya tabia zilinganazo na jinsi wanawake walivyo wakihusishwa na tabia tunazozishuhudia katika maisha ya kimapezi yetu ya kila siku….
Inasemekana wadada wana tabia tofauti katika mapenzi kulingana na maumbo ya miili yao:
 1. Wasichana wafupi wanaongoza kwa wivu wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao
 2. Wasichana warefu huwa hawawajali wapenzi wao na hawaogopi mahusiano kuvunjia hawajui
  kubembeleza hata kdogo
 3. Wasichana wenye DIMPOZ, MWANYA, MATEGE MBINUKO, MAHIPS NA KITHEMBE, hawa huongoza kwa kutokuwa WAAMINIFU katika mapenzi.
 4. Wasichana WANENE huongoza kwa MAPENZI YA KWELI yaani akipenda amependa kweli
 5. Wasichana WEMBAMBA hawa huwa ni WABISHI sana na hawa wanaongoza kwa kutendwa!
 6. Wasichana wenye NGOZI NYEUSIwanaongoza kwa KUTOA MIMBA na kupenda wanaume warefu na weupe
 7. Wasichana weupe wakiongoza kwa kuzalia nyumbani, na hawa weupe weng wao
  huolewa wakiwa na watoto tayari huku wakipenda kuolewa na waarabu kulko wanaume weusi.
Kwa uzoefu wako wa maumbo mbalimbali waiyonayo dada zetu au wapenzi wetu zinalingana au kutofautiana na hizi..?

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.