Ronaldo atastaafu soka akiwa Real Madrid – Jorge Mendes - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ronaldo atastaafu soka akiwa Real Madrid – Jorge Mendes

Bet Sasa
Wakala maarufu wa Cristiano Ronaldo, Jorge Mendes amezifutilia mbali tetesi za uwezekano wa mshambuliaji huyo wa Real Madrid kuwa na mpango wa kuhamia klabu nyingine.

2F955BAD00000578-0-The_Portuguese_maestro_watched_the_Miami_Heat_agonisingly_lose_9-a-40_1451263483471
Ronaldo akishuhudia mchezo wa kikapu wa ligi ya NBA kati ya Miami Heat na Detroit Pistons ambapo Heat walishindwa kwa vikapu 93-92 December 22
Wakala huyo amedai kuwa Real Madrid ni timu ya mwisho mchezaji huyo kuichezea. Kulikuwepo na tetesi kuwa mchezaji huyo angependa kucheza na Paris Saint-Germain ya Ufaransa.
Akizungumza kwenye tuzo za Globe Soccer mjini Dubai Jumapili hii, Mendes alisema:
‘He’s the best player of all-time. And I am sure that he will play the next four, five, six, seven years at Real Madrid; he will end his career there. ‘He’s happy with Los Blancos; he’ll hang up his boots when he’s 40’.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.