Ratiba ya Ligi Kuu Uingereza Wikiendi Hii ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ratiba ya Ligi Kuu Uingereza Wikiendi Hii !

Alexis Sanchez akishangilia baada ya kufunga goli
Mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez
Ligi Kuu Uingereza itaendelea wikiendi hii ambapo siku ya Jumamosi vinara Leicester City watakaribishwa na Everton katika Uwanja wa Goodson Park.
Nao Chelsea ambayo imemtua kocha Jose Mourinho siku ya Alhamisi itaialika Sunderland katika dimba la Stamford Bridge.
Sergio Aguero akishangilia goli
Mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero
Siku ya Jumatatu Arsenal itakuwa Emirates ikimenyana na Manchester City.
Ratiba kamili ya mechi wikiendi hii
Jumamosi 19 Desemba
18:00 Chelsea v Sunderland
18:00 Everton v Leicester
18:00 Man Utd v Norwich
18:00 Southampton v Tottenham
18:00 Stoke v Crystal Palace
18:00 West Brom v Bournemouth
20:30 Newcastle v Aston Villa
Jumapili 20 Desemba
16:30 Watford v Liverpool
19:00 Swansea v West Ham
Jumatatu 21 Desemba
23:00 Arsenal v Man City
Muda wote ni kwa saa za Afrika Mashariki.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.