Q Chief na MB Dog Kurudi Shule Na Kusomea .....!! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Q Chief na MB Dog Kurudi Shule Na Kusomea .....!!

Meneja na mwezeshaji wa Q Chief na MB Dog, QS J Mhonda anatarajia kuwarudisha darasani wasanii hao.
Mb Dog , Q chief , QS J Mhonda
Akiongea na Planet Bongo ya East Africa Television, Mhonda alisema hatua hiyo itawasaidia wasanii hao kuweza kujitegemea nje ya muziki.
“Nataka kuwapeleka katika fani mbalimbali kama ujenzi, uchoraji na fani nyingine. Q Chief na MB Dog nao wataenda kujifunza ili waweze kufanya issue nyingine nje ya muziki,” alisema Muhonda.
QS J Mhonda Entertainment ni moja ya kampuni kubwa za muziki nchini zinazotumia gharama kubwa katika kusimamia wasanii wake pamoja na kuwagharamikia vitu mbalimbali.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.