Orodha Kamili ya Rapa Wanaoongoza Kwa Maneno Machafu Kwenye Nyimbo Zao ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Orodha Kamili ya Rapa Wanaoongoza Kwa Maneno Machafu Kwenye Nyimbo Zao !

Lil-Wayne-Slapped-With-Another-Court-Judgment
Rapa Lil Wayne ametajwa kuongoza orodha ya wasanii wanaotumia maneno machafu zaidi kwenye nyimbo zao “foul-mouthed artist”.
Digital music streaming service Deezer imemtaja rapa Lil  Wayne baada ya kuangali na kusikiliza nyimbo milioni 35 walizonazo kwenye system yao. Lil Wayne ana nyimbo mbili kwenye nyimbo 10 zenye matusi zaidi duniani.
Wimbo wake wa ‘Beat the S**t’ unamatusi 188 akifuatiwa na rapa Snoop Dogg.
Hii ndio orodha ya Deezer ya wasanii kumi wenye nyimbo zenye maneno machafu zaidi.
  1. Lil Wayne
  2. Snoop Dogg
  3. Jay Z
  4. 2Pac
  5. DMX
  6. Eminem
  7. Rick Ross
  8. Busta Rhymes
  9. 50 Cent
  10. Ice Cube
Album zenye matusi mengi zaidi duniani.
Mickey Avalon, Mickey Avalon – 3,094 curse words
All Eyez on Me (Dual Disc), 2Pac – 1,091 curse words
Until the End of Time, 2Pac – 800 curse words
Turn Up Why Turn Down, DJ Dallas Green – 779 curse words
All Eyes on Me, 2Pac – 752 curse words
R U Still Down? (Remember Me), 2Pac – 740 curse words
I Am Not a Human Being (Deluxe Edition), Lil Wayne – 722 curse words
Still Smokin and Leaned Out, Lil Wayne – 700 curse words
Anarchy, Busta Rhymes – 677 curse words
Blood Moon: Year of the Wolf, Game – 675 words

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.