Mwanamuziki Diamond Platnumz Aweka Historia Tena Dar Live..Angalia Alichofanya Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mwanamuziki Diamond Platnumz Aweka Historia Tena Dar Live..Angalia Alichofanya Hapa

Bet Sasa
Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leo
IMG_7989Diamond akicheza na mashabiki wake waliofurika Dar Live.
IMG_7359
Akicheza na wacheza shoo wake wa kike.
IMG_1416Nyomi ya kufa mtu ndani ya Dar Live wakiendelea kumshangilia Diamond.
IMG_7371Wacheza shoo wa kike wa Diamond wakifanya yao.
IMG_7324Diamond akiwachombeza mashabiki.
IMG_7325Diamond akicheza na wacheza shoo wake wa kiume.
IMG_7344Akiongea na mashabiki.
IMG_7377
IMG_7379IMG_7383Diamond akifanya yake na wacheza shoo wake.IMG_7390Diamond baada ya kuwakonga nyoyo mashabiki wake waliofurika Dar Live na wao kuridhika aliamua kupozi nao kwa picha hii.IMG_7432Nyomi ya kutisha ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live.IMG_7455
IMG_7973Diamond akizidi kuwapa raha mashabiki wake wa Dar Live.IMG_7927Mashabiki baada ya kupagawa na shoo.IMG_7975…Akiongea na mashabiki wake.IMG_7991Akiwasalimia mashabiki.
(PICHA: MUSA MATEJA, RICHARD BUKOS/GPL)

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.