MREMBO Gigy Money Amtambia Wema Sepetu Kwa Kumzidi KALIO - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

MREMBO Gigy Money Amtambia Wema Sepetu Kwa Kumzidi KALIO

MSANII anayechipukia kwenye ulimwengu wa filamu Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ‘amejivua’ akili kwa kumtambia staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu kuwa si chochote kwake kwani hawezi kumfikia kwa umbo lake hususan kalio.

Akipiga stori na kona ya Bongo Movies, Gigy ambaye pia ni ‘muuza nyago’ kwenye video za Kibongo alisema kuwa ana kila sababu inayomfanya kujitambia kwa umbo lake ambalo linawateka hasa wanaume wakware.

Kuna siku kwenye kipindi kimoja cha runinga tulishindanishwa kati yangu na Wema nani mwenye kalio kubwa nikamfunika, hicho ni kigezo cha kwanza kuwa nina uwezo wa kumpoteza na sehemu nyingine,” alisema Gigy.

Source:Global Publishers

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.