Miss World 2015 Imeisha na Mshindi Ameshatangazwa + Top 10 - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Miss World 2015 Imeisha na Mshindi Ameshatangazwa + Top 10

Bet Sasa
Ni shindano ambalo limefanyika nchini China kwa mara ya saba kuanzia mwaka 2003 ambapo kwenye fainali za 2015, mshindi ametangazwa kuwa ni Mireia Lalaguna Royo wa Hispania ambaye umri wake ni miaka 23, wanasema kingine kikubwa kilichompa nafasi ni umahiri wake mkubwa wa kuongea mbele ya hadhara.
Nchi zilizoingia kwenye Top 10 ya shindano hili la 65 ni Russia, Philippines, Guyana, Lebanon, Spain, Jamaica, France, South Africa, Spain and Australia.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.