Mbunge Peter Msigwa Amrushia Dongo Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda, Kisa ? - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mbunge Peter Msigwa Amrushia Dongo Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda, Kisa ?

 Mbunge Peter Msigwa Amrushia Dogo Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda..Ni Baada ya Picha Amkimfunga Kamba za Viatu Ridhiwani Kuzagaa

Ameposti picha hii hapa chini Paul Makonda akimfunga Ridhiwani Kamba za viatu
na Kuandika "Hivi Ndivyo U DC Unavyopatikana, Kujikomba Komba"

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.