Lulu autamani uhusiano wa Vanessa Mdee na Jux - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Lulu autamani uhusiano wa Vanessa Mdee na Jux

Kwa mujibu wa Lulu, Vanessa Mdee na Jux ni couple bora zaidi – of course baada ya kwake mwenyewe isiyojulikana hadi sasa.
wpid-10903372_860878923952023_314361227_n
“You can’t stop loving short girls,” ameandika Lulu kwenye Instagram.
“Ukiona nakudanganya kamuulize anko Will Smith, 20 years kakwama kwa aunty jada. Fave couple….ikitoka yangu tu hii ndo inafata. Kuna mijitu itapanic basi, sasa unataka nikupende wewe na mtu wako wakati hamueleweki !

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.