Hivi Ndiyo Wema na Jokate Walivyopokelewa Stejini na King Kiba - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hivi Ndiyo Wema na Jokate Walivyopokelewa Stejini na King Kiba

Mkali wa Bongo Fleva, Ali Kiba juzi pande za Escape One, Mikocheni alifanya shoo ya kuwaaga mashabiki wake kwa mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka Mpya 2016 ambapo aliitambulisha rasmi bendi yake mpya iitwayo 4RealDancers.
Shangwe kubwa lilisikika pale  ambapo King Kiba alipowa ‘surprise’ mashabiki wake  kwa kuwapandisha stejini mastaa warembo, Wema Sepetu na Jokate ‘Kidoti’ kama unavyoona kwenye picha hapo chini.


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.