Bob Junior na Diamond Wafanya Collabo Ngoma Inatoka Mwaka Huu ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Bob Junior na Diamond Wafanya Collabo Ngoma Inatoka Mwaka Huu !

Msanii ambaye apia ni producer wa studio za Sharobaro Records, Bob junior amesema wimbo aliomshirikisha Diamond unaweza kutoka mwaka huu.
Bob junior ambaye amesema wimbo huo unaitwa ‘ I am praying for you’ aliomshirikisha msanii aliyewahi kuwa chini ya label yake umekamilika
“Naomba Mungu kazi itoke mwaka huu kwa sababu itakavyozidi kuchelewa itakuwa ni issue nyingine. Kazi imekamilika kwa kiasi chake ndio maana nasema itatoka mwaka huu,” Bob junior.

-bongo5

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.