Binti Mmoja Amefariki Dunia Baada ya Kula Mchanga wa Kaburini Baada ya Kuambiwa na Mhubiri - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Binti Mmoja Amefariki Dunia Baada ya Kula Mchanga wa Kaburini Baada ya Kuambiwa na Mhubiri

KENYA: Binti mmoja amefariki dunia baada ya kula mchanga wa kaburi

Mhubiri alimshauri ale mchanga huo kwa madai kuwa ana mizimu

Inasemekana baada ya kunyweshwa dawa, ndivyo hali ya afya ya msichana huyo ilivyozidi kuwa mbaya hadi akapoteza fahamu.

Hata hivyo mhubiri mwenyewe amejitetea akisema huenda ilitokana na familia ya marehemu kutokuwa na Imani na maombi yake ya uponyaji. 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.