Aunt Ezekiel Anategemea Kupata Mtoto Mwingine Soon ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Aunt Ezekiel Anategemea Kupata Mtoto Mwingine Soon !

Bet Sasa
aunt, cookie na iyobo (1)
Stori: Imelda Mtema
Staa maarufu wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel amefungua kinywa chake na kusema kuwa kwa sasa yuko kwenye mchakato wa kumtafuta mdogo wake na Cookie kwa kuwa hataki kukaa muda mrefu ili kupata mtoto mwingine.
aunt, cookie na iyobo (2)Aunty Ezekiel na mpenzi wake, Mose Iyobo.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni Aunty,alisema kuwa ameamua kufanya hivyo kwa kuwa anaona kuzaa mapema na kumaliza ndiyo poa ili aweze kuendelea na kazi zake vizuri kuliko kukaa muda mrefu halafu ndiyo ubebe ujauzito tena.
“Sasa hivi mimi na baba Cookie tumeshaamua kufanya maamuzi mazuri kabisa ya kuongeza mtoto mwingine maana tumeona kwanza ndiyo furaha yetu kubwa na kitu kingine tukizaa haraka ni vizuri zaidi tunaweza kufanya kazi zetu kwa ajili ya kusomesha na si kufikiria kuzaa tena,” alisema Aunty.
-GPL

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.