Ray C Aonywa Kuhusu Kujirekodi Video Za Utupu "X" - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ray C Aonywa Kuhusu Kujirekodi Video Za Utupu "X"

RayCCCCC.jpg
MWANAMUZIKI ambaye hivi karibuni alipata aibu baada ya video yake ya X kuvuja, Rehema Charamila ‘Ray C’ ameonywa kuacha tabia ya kujirekodi akifanya ‘majamboz’ kwani ipo siku ataaibika zaidi ya hapo.
Wakizungumza na Ijumaa kwa nyakati tofauti, baadhi ya mashabiki wake walisema kuwa, kitendo cha yeye kukiri kuwa ile clipu ni yake na aliisevu kwenye simu yake kwa matumizi binafsi kumewashangaza, hivyo kama anataka wazidi kumpenda na kumheshimu aache tabia hiyo.
“Yaani kakiri kabisa kwamba ni yake licha ya kwamba sura haionekani, halafu anasema eti ni kwa matumizi binafsi, ipo siku itavuja inayomuonesha hadi sura, sijui ataifi cha wapi sura yake,” alisema shabiki mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Halima wa Magomeni.
-GPL

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.