Professor J Adai Atafanya Muziki Kwa Viwango Vikubwa Zaidi Na Kufungua Njia Kwa Wasanii Wengine. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Professor J Adai Atafanya Muziki Kwa Viwango Vikubwa Zaidi Na Kufungua Njia Kwa Wasanii Wengine.

Mbunge wa jimbo la Mikumi, Joseph Haule aka Professor J, amesema baada ya kushinda kiti cha ubunge atafanya muziki wake kwa ufanisi kushinda kipindi cha nyuma.
Professor akiwa kwenye shughuli za kisiasa
Jay amesema umefika wakati wa yeye kufanya collabo na wasanii wakubwa. “Naendelea kufanya sanaa yangu na huenda nikaifanya kwa ufanisi mkubwa zaidi,” Jay aliiambia East Africa Radio wiki iliyopita.
“Unaweza ukasikia watanzania wanafanya kazi na akina Eminem na Jay Z, kwahiyo nategemea kufanya kwa next level kwa sababu naamini exposure nitakayoipata watu wategemee vitu vizuri zaidi. Nitafungua milango, kwenye muziki wa Bongo Flava tunaenda kufungua ukurasa mwingine kwa ajili ya watanzania.”

-bongo5

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.