Mwigizaji Jacqueline Wolper Afunguka Jinsi Anavyompenda Mpenzi Wake, Ipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mwigizaji Jacqueline Wolper Afunguka Jinsi Anavyompenda Mpenzi Wake, Ipo Hapa

12276915_486815101498706_1425453824_n
Muigizaji wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper baada ya kuvalishwa pete ya uchumba na mpenzi wake miezi miwili iliyopita, jana amemwandikia ujumbe mzuri wa siku yake ya kuzaliwa kuonesha jinsi anavyompenda.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Wolper ameandika: “100% Comfort zone… Who else understands and accepts all of me? Who else can I count on for comfort and security? Who else can I call at any hour of the day or night? Who else rallies behind me in my good decisions and are there to help me through the consequences of the bad ones? Not many people are as blessed as I am with someone like you in their lives. I bless the heavens for the wonderful gift of you my PUTIN.
Thanks for completing me.. HAPPY BIRTHDAY MY ROCK”

Katika hatua nyingine Wolper aliweka post nyingine na kuandika: “Nasikia mjini kuna nyakunyaku sasa jamani mtu mzima unanyakuliwaje? me nasema ukininyakulia nikakuachia labda kama simpendi lakini kama nimempenda anyakuliwi mtu ubabisha jaribu shuwainiiii ….na nyie wadada wamjini acheni habari zakuibiana mabwana na kutangazana insta kma umeshindwa kumuifadh bwanaako vzuri akanyakuliwa basi tulia tulii… tafuta mnyonge nawe umnyakulie syo maneno kila sku tukitagiwa kwenye umbea ukisoma ni mambo ya nyaku nyaku sasa we ulinyakuliwa ulikua wapi? paka unyakuliwe nyakuliwa danga maana kila mtua analitaka hilo danga lkn usinyakuliwe bwana maana paking mjini shida… kila mtu ataki kua side chick sasa vipi ulegee unanyakuliwa tuu…so wapenzi wangu nimeongea yote haya kwa sababu ya nyie mashushu wakunitag kwenye umbea wamabwana kunyakuliwa mwanamke kwanza anayegombania bwana me naona soko litakua limeshuka ndo maana unalalamika sawa inauma kwakua umemzoea lkn aina sababu yakugombana kama mwenzio kakuzidi we kata mti panda mti ananyakuliwa nawenyakua maisha yaendelee..unalilia ndani nn nakutoa siri zako kwa mashoga wakat mashoga wenyewe wanafk tuu mfyuuu …nyakua nikunyakulie…mada yaleo hyo haya wakunyakua nakunyakuliwa tiririkeni hapa.”

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.