Hatari: Nyangumi Akutwa Amekufa Ufukwe wa Coco, Wananchi Wachangamkia Kitoweo na Mafuta - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hatari: Nyangumi Akutwa Amekufa Ufukwe wa Coco, Wananchi Wachangamkia Kitoweo na Mafuta

Watanzania nadhani tuna matatizo sana, mtu mwenye akili timamu katika hali ya kawaida huwezi kuta mnyama amekufa ukakimbilia kumfanya kitoweo bila ruksa ya daktari wa mifugo au mamlaka husika. Hata kwenye machinjio yetu lazima daktari athibitishe kuwa kitoweo ni salama kwa matumizi ya binadamu.

-udakuspecially

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.