Hata Kama ni ‘Used’, Johari Ana Thamani Yake - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hata Kama ni ‘Used’, Johari Ana Thamani Yake

Bet Sasa
Mwigizaji mkongwe kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ameweka wazi kwamba wasanii wengi wachanga wamekuwa wakipenda kutumia jina la ‘used’ kwa wasanii wakongwe lakini kwa upande wake anajiona bado ana thamani kubwa.
Johari ameliambia Ijumaa Wikienda kwamba, japokuwa wanamuita ‘used’ lakini akisimama katika kucheza filamu, thamani yake inakuwa ni kubwa kwani kile anachokifanya anakifahamu vyema wala hawezi kutetereka.
“Sawa, mimi ni ‘used’ lakini thamani yangu ni kubwa sana kwenye Sanaa kwa sababu mimi ni tofauti kabisa na hata methali zinasema ya kale ni dhahabu,” alisema Johari.
Chanzo:GPL

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.