Diamond, Zari na Tiffah Waungana Tena South Africa, Picha Zipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond, Zari na Tiffah Waungana Tena South Africa, Picha Zipo Hapa

Diamond Platnumz ameungana tena na familia yake nchini Afrika Kusini.
11939678_1015510408471958_1941126011_n
Muimbaji huyo wa Nana aliyeenda nchini humo kwaajili ya maandalizi ya show ya BET Experience Africa, ametumia fursa hiyo kuonana tena na mchumba wake Zari The Bosslady na mwanae, Tiffah.
12256718_1547605398862789_119335777_n
Kupitia Instagram, Diamond ameonesha picha akiwa na familia hiyo wakizunguka kwenye mitaa ya mji (ambao hakutaja ni upi).
12298768_790775771032380_1837771578_n
“I always wanted to be a Good Daddy & Hubby!!!… #FamilyTime katoto kanapenda picha haka eti kanachungulia,” aliandika.
Zari pia ameshare picha nyingine inayomuonesha Diamond akiwa na stroller ya mtoto akimsukuma Tiffah.
12269816_485939011578736_1470131215_n
“Out and about today,” ameandika.
12301343_1036858176376722_1332440616_n
Akaunti ya Tiffah nayo ipo busy kuonesha maisha yao. “After a long day with my dad…..,” wameandika.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.