Belle 9 Apata Dili ya Kwanza Ya Ubalozi wa Kampuni Hii ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Belle 9 Apata Dili ya Kwanza Ya Ubalozi wa Kampuni Hii !

Wiki iliyopita muimbaji wa Rnb, Belle 9 alipost picha akisaini mkataba ambao kwa wakati ule hakuweka wazi ni wa kitu gani. Lakini sasa ameweka wazi kuwa ulikuwa ni mkataba wa ubalozi wa Owbaz.com.
Belle ubalozi2
Mafanikio haya yanakuja baada ya Belle kuanza kufanya kazi chini ya kampuni yake ya Vitamin Music inayosimamia kazi zake zote kwa sasa.
Belle ubalozi3
Mafanikio mengine ambayo Belle ameyapata toka abadili mfumo wake wa kufanya kazi ni pamoja na video yake ya ‘Shauri Zao’ kuanza kuchezwa na vituo vya nje ikiwemo Trace Urban.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.