Upo Hapa Ujumbe Kutoka Kwa Mpenzi Wa Ommy Dimpoz Baada Ya Kushinda Tuzo ya Afrimma - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Upo Hapa Ujumbe Kutoka Kwa Mpenzi Wa Ommy Dimpoz Baada Ya Kushinda Tuzo ya Afrimma

Bet Sasa
12145348_1677102072504602_495340473_n
Unapofanya jambo la kishujaa zaidi, ukitoa wazazi mtu wa kwanza kusherehekea nawe kwa ukaribu ni mpenzi wako.
Ommy Dimpoz hana tofauti. Muimbaji huyo wa ‘Wanjera’ Jumamosi iliyopita alishinda tuzo ya ‘Best New Comer’ kwenye tuzo za Afrimma zilizofanyika, Dallas, Texas, Marekani.
Mpenzi wake aitwaye Zerthun ambaye kwa wanaowafollow Instagram wawili hao wanajua kuwa uhusiano wao si wa siri tena, alikuwa na maneno mazuri ya kumwambia. “Hongera sana! Well deserved (emoji ya love) #afrimmaawards2015,” aliandika kwenye picha ya tuzo aliyopata Dimpoz.
ZE
Ommy aliungana na Vanessa Mdee na Diamond kwenye tuzo hizo na wote wamerudi kifua mbele.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.