Teaser: Alikiba Aonjesha Collabo yake Mpya na Christian Bella ‘Nagharamia’ (Audio) - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Teaser: Alikiba Aonjesha Collabo yake Mpya na Christian Bella ‘Nagharamia’ (Audio)

Alikiba a.k.a King Kiba na Christian Bella a.k.a mfalme wa masauti wamekuwa wakitoa ahadi ya kufanya collabo kwa muda mrefu, na mashabiki wamekuwa na shauku ya kusikia kile kilichofanywa na wakali hao kwa kuzingatia uwezo mkubwa walionao.

‘Nagharamia’ ndio jina la wimbo huo ambao unatarajiwa kutoka hivi karibuni. Alikiba ameshare kionjo kidogo cha wimbo huo kwenye Instagram.

Miezi kadhaa iliyopita Bella alisema kuwa kazi hiyo itakuwa na utofauti mkubwa kwasababu amembadilisha sana Alikiba.


SOURCE:BONGO5

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.