Ratiba ya Mhe. Edward Lowassa 1.10.2015 - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ratiba ya Mhe. Edward Lowassa 1.10.2015

Mgombea urais kwa tiketi ya Ukawa Edward Ngoyai Lowassa akizungumza na wananchi katika uzinduzi wa kampeni katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam
Mgombea urais kwa tiketi ya Ukawa Edward Ngoyai Lowassa akizungumza na wananchi katika uzinduzi wa kampeni katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam
TAARIFA MUHIMU KUHUSU MIKUTANO YA KESHO ALHAMISI TAREHEE 1 OCTOBER 2015 YA MGOMBEA URAIS KWA TICKET YA CHADEMA NDG EDWARD LOWASSA
1. Saa 3 – 5 asubuhi, Temeke Mwembeyanga
2. Saa 6 – 7:30 mchana, Segerea, Liwiti
3. Saa 8:30 – 9:30 alasiri, TP Sinza/ Uzuri
4. Saa 10:30 – 12 jioni, Kawe Tanganyika Packers

Chanzo: Chadema Blog

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.