Ratiba ya Ligi Kuu Uingereza Wikiendi Hii - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ratiba ya Ligi Kuu Uingereza Wikiendi Hii

Bet Sasa
Kocha wa Tottenham Mauricio Pochettino ametajwa kuwa kocha bora wa Septemba
Kocha wa Tottenham Mauricio Pochettino ametajwa kuwa kocha bora wa Septemba
Ligi Kuu ya Uingereza itaendelea wikiendi hii ambapo Tottenham Hotspur itavaana na Liverpool katika dimba la White Hart Lane Kaskazini mwa London siku ya Jumamosi.
Kocha mpya wa Liverpool Jurgen Klopp
Kocha mpya wa Liverpool Jurgen Klopp
Chelsea itaikaribisha Aston Villa jijini London Magharibi huku Manchester United ikiikaribisha Bournemouth katika Uwanja wa Old Trafford.
Jumamosi Oktoba 17
14:45 Tottenham v. Liverpool
17:00 Chelsea v. Aston Villa
17:00 Crystal Palace v. West Ham
17:00 Everton v. Man Utd
17:00 Man City v. Bournemouth
17:00 Southampton v. Leicester
17:00 West Brom v. Sunderland
19:30 Watford v. Arsenal
 Jumapili 18
18:00 Newcastle v. Norwich
 Jumatatu 19
22:00 Swansea v. Stoke
Muda wote ni kwa saa za Afrika Mashariki.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.