Ratiba Ya Ligi Kuu Uingereza Wikiendi Hii - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ratiba Ya Ligi Kuu Uingereza Wikiendi Hii

Kocha wa Man U Louis van Gaal
Kocha wa Man U Louis van Gaal
Ligi Kuu ya Uingereza inatarajiwa kuendelea wikiendi hii ambapo Manchester City itavaana na Newcastle siku ya Jumamosi katika dimba la Etihad.
Kocha wa Arsenal Arsene Wenger
Kocha wa Arsenal Arsene Wenger
Nao vinara wa ligi, Manchester United watakuwa wageni wa Arsenal katika dimba la Emirates siku ya Jumapili.
Jiji la London kuwaka moto siku ya Jumapili.
Ratiba kamili
Jumamosi 3 Oktoba
14:45 Crystal Palace v. West Brom
17:00 Aston Villa v. Stoke
17:00 Bournemouth v. Watford
17:00 Man City v. Newcastle
17:00 Norwich v. Leicester
17:00 Sunderland v. West Ham
19:30 Chelsea v. Southampton
Jumapili 4 Oktoba
15:30 Everton v. Liverpool
18:00 Arsenal v. Man Utd
18:00 Swansea v. Tottenham
Muda wote ni kwa saa za Afrika Mashariki

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.