Rais PAUL KAGAME Atoa Dongo Kuhusu Uchaguzi Ujao Oct 25 Oct - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Rais PAUL KAGAME Atoa Dongo Kuhusu Uchaguzi Ujao Oct 25 Oct

Nimependa maneno ya Paul Kagame ameongea ukweli na siyeye tu bali ni jamii yote ya kimataifa wanasubiria huu uchaguzi kwa hamu maana sisi tumekuwa wakwanza kuwanyoshea wenzetu vidole utadhani sisi ni makaika!Haya sasa mpira huko kwetu kupiga penati je tutapaisha au tutalenga goli ???

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.