Raila Odinga Ampongeza Magufuli, Atoa Ushauri Kwa Lowassa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Raila Odinga Ampongeza Magufuli, Atoa Ushauri Kwa Lowassa

Waziri Mkuu wa zamani Kenya Raila Odinga amempongeza John Magufuli baada yake kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais Tanzania.
Aidha, amemshauri mgombea wa upinzani Edward Lowassa Kuwa Kama Hajakubaliana na Matokeo basi Aende Mahakama kushtaki Kama yeye Alivyofanya wakati akigombea Urais Kenya na Kushindwa na Kenyatta.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.