Prof. Mark James Mwandosya Atoa Kauli Ya Kuhama...Anakukaribisha Anapohamia..Soma Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Prof. Mark James Mwandosya Atoa Kauli Ya Kuhama...Anakukaribisha Anapohamia..Soma Hapa

Katika akaunti yake ya facebook Prof. Mark James Mwandosya ameandika:-
"Mitandao ya mawasiliano leo imesheheni tena taarifa za Profesa Mwandosya kuhama. Napenda kuwathibitishia ndugu, marafiki, na watanzania wenzangu, tena kwa ukweli kabisa, kwamba nahama, kutoka Dar es Salaam kwenda kijijini Lufilyo, Busokelo. Karibuni sana kijijini" - Prof. Mark James Mwandosya

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.