Picha: Wema Sepetu Afunga Ndoa na Luis Munana wa Namibia ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Wema Sepetu Afunga Ndoa na Luis Munana wa Namibia !


Wema Sepetu amefunga ndoa kwa mara ya pili mwaka huu – kwenye movie bila shaka! Baada ya miezi kadhaa iliyopita kufunga ndoa kwenye movie na JB, Wema anaonekana kufanya movie nyingine tena ambayo anaishia kuwa mke wa mtu – at least kwa inavyoonekana kwenye Instagram. Awamu hii japo hajaweka wazi kama ni movie, Wema ameonekana kwenye picha na mshiriki wa Big Brother Africa The Chase Luis Munana wa Namibia. “Smile To Change Your World , BUT Don’t Let The World Change Your Smile,” ameandika Luis kwenye Instagram.

Kwenye picha nyingine ameandika: Faheem is happy! Faheem is at Peace ! #InShaAllah.” Wema pia amepost picha hizo kwenye akaunti yake na kuwaacha mashabiki wakiwa na majibu yanayotofautiana.
Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.