Picha: Shilole Aonesha Tattoo Mpya Ya jina La ‘Nuh’ Aliyochora Kifuani - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Shilole Aonesha Tattoo Mpya Ya jina La ‘Nuh’ Aliyochora Kifuani

Shilole amewathibitishia mashabiki na ‘haters’ wake kuwa mapenzi yake na Nuh Mziwanda ni ‘Unstoppable’.
shishi-2
Staa huyo wa muziki na filamu ameonesha tattoo mpya aliyochora kifuani kwake yenye jina la mpenzi wake ‘Nuh’.

Picha Hii Sio Nzuri Sana Kimaadili Bofya Hapa Kuiona

Katika post yenye picha hiyo Shishi ameandika “Lv ya ukweli inaongea”.
Mapenzi ya wawili hao yamekuwa yakikumbwa na dhoruba ya mara kwa mara lakini wameendelea kuwadhihirishia watu kuwa hawana dalili za kuachana kwasababu bado wa-’nakomaa na jiji’.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.