Picha: Mashabiki wamshambulia Nonini baada ya kupost picha ya ‘TBT’ akiwa kwenye pozi za kimahaba na Wahu - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Mashabiki wamshambulia Nonini baada ya kupost picha ya ‘TBT’ akiwa kwenye pozi za kimahaba na Wahu

Katika ule utaratibu wa watu kupost picha za zamani kwenye mitandao ya kijamii na hashtag ya ‘Throw Back Thursday (TBT) kila siku za Alhamisi , Nonini alipost picha aliyopiga zamani na Wahu wakiwa kwenye pozi za kimahaba, kitendo kilichotafsiriwa tofauti na mashabiki waliodai amemkosea heshima Nameless.
Nonini2
Wanamuziki Wahu Kagwi na David Mathenge a.k.a Nameless wa Kenya ni wanandoa, na Septemba 10 mwaka huu waliadhimisha miaka 10 ya ndoa yao ambayo imewapa watoto wawili wa kike.
nameless n wahu
Nameless na mke wake Wahu

Mashabiki wa Nameless na Wahu hawakupenda kitendo cha Nonini kupost picha ya zamani akiwa katika pozi za kimapenzi na mtu ambaye kwa sasa ni mke wa mtu ndio maana walimkosoa kwa kitendo hicho.

Nonini NA wAHU
Nonini na Wahu (TBT)

Hizi ni baadhi ya comments za Facebook:
Hunk Kenney U dint have to post that because of marital issues man…she is some one’s wife
Dancan Khadeji Do you think Nameless will be clapping for you if he sees this????
Francis Onyoyo tumia akili ngombe ii, she is married what on earth r u doingNonini? Nkt
Violet Mungai Watu wanacatch mafeelings kwni hawajui tbt n nn???ignorance n disease kwa wakenya
Robert Nuve Hapo umekosa mgenge…..unataka kuvunja familia nini?
Patrick Karanja kuna mtu atakula moto mbaya, hizi zinafaa kubaki gizani mgenge


Unahisi Nonini alikuwa sahihi kupost picha ya namna hiyo katika kipindi ambacho Wahu ni mke wa mtu?

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.