Matonya na Tunda Man Hawako Sawa licha ya Kudaiwa Kumaliza Tofauti Zao - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Matonya na Tunda Man Hawako Sawa licha ya Kudaiwa Kumaliza Tofauti Zao

Matonya amesema hajawahi kuonana na hana shida ya kumtafuta rafiki wake wa zamani, Tunda Man.
11385099_123603974638510_752782279_n
Matonya na Tunda Man waliingia kwenye mgogoro baada ya Tunda kudai alikuwa anamwandikia nyimbo Matonya katika kipindi cha nyuma hali iliyoleta tofauti baina yao mpaka sasa.
Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio Jumatatu hii, Matonya alisema hajawahi kuonana na kuzungumza na Tunda Man siku za hivi karibuni.
“Hata kuonana naye sijaonana naye, hawa story zao achana nazo,” alisema. “Sijawahi kuzungumza hili suala na wala sina hiyo plan kabisa, yaani sijawahi kukaa na Tunda Man kumzungumzia hili suala.”

-bongo5

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.