Linah Adai PENZI Lake Na Mganda Ni Imara Zaidi Ya Saruji..Ipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Linah Adai PENZI Lake Na Mganda Ni Imara Zaidi Ya Saruji..Ipo Hapa

Bet Sasa
11326146_700917846705281_816841058_n
Hitmaker wa Ole Temba, Linah Sanga amesema uhusiano wake na raia wa Uganda, Williams Bugeme ni imara zaidi ya vile wengi wanavyodhani.
Linah ameiambia Bongo5 kuwa uvumi kuwa tayari wameachana na mpenzi wake huyo, umetokana na kuonekana kutokuwa naye karibu kama zamani.
“Mimi nashangaa watu wanataka nini?” amehoji. “Watu wanafikiri mimi na mpenzi wangu tunaweza kuachana kirahisi! Sisi tunapendana kweli. Sema sasa hivi tumeamua kuacha kuweka picha zetu mara kwa mara kwenye mitandao, ila sisi tupo poa na kila mtu anaendelea vizuri.”

-bongo5

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.