Jokate Asema Wasanii Wanaponzwa na Umaarufu | Soma Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Jokate Asema Wasanii Wanaponzwa na Umaarufu | Soma Hapa

jokate
Mwanamitindo na muimbaji, Jokate Mwegelo amewataka wasanii kutumia umaarufu wao vizuri ili wapewe ushirikiano na kila mtu katika kazi zao.
Jokate amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio kuwa wasanii wengi wanavimba kichwa baada ya kupata umaarufu hali inayopelekea mwisho wao kuwa mbaya.
“Unajua ukiwa maarufu kila mtu akawa anaimba nyimbo yako, ni rahisi kuvimba kichwa ukajiona wewe ndio wewe, unasahau kabla ya wewe kulikuwa kuna watu ambao walihit vilevile. Hii ni cycle kwamba leo umehit, yule kesho,” alisema.
“Wanatakiwa kujua sio kwamba wao watakaa juu milele, hiyo haipo. Kwahiyo hivyo vitu visikuingie kichwani, cha muhimu ni kufanya kazi kwa heshima hasa hasa kwa wale watu ambao wapo kwenye industry,” alisisitiza Jokate.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.