Jerry Silaa Athibitisha Kifo cha Baba yake Capt Silaa na Mhe.Deo Filikunjombe Kwenye Ajali ya Helkopta ya CCM iliyoanguka Jana - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Jerry Silaa Athibitisha Kifo cha Baba yake Capt Silaa na Mhe.Deo Filikunjombe Kwenye Ajali ya Helkopta ya CCM iliyoanguka Jana

Jerrysilaa:
"Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa rasmi kutoka kwa timu ya uokoaji imefanikiwa kufika eneo la ajiali na kukuta abiria wote na rubani wamepoteza maisha.
Nimepoteza Baba na rubani mzuri wa nchi yetu Capt.William Silaa,nimepoteza rafiki na kiongozi wangu Mhe.Deo Filikunjombe. Nawapa pole wote waliopoteza ndugu zao. Nawaombea marehemu mapumziko ya Amani.
Nawashukuru wote walioshirikiana na familia kusaidia uokozi.
Namshukuru Mhe.Rais Jakaya M Kikwete, Dr.John Pombe Magufuli, IGP Ernest Mangu, Katibu Mkuu MU Dr.Meru, Kampuni ya Everest Aviation ,Wabunge, MaDC, Maafisa wa TCAA na wote walioshiriki kuwatafuta wahanga wa tukio hili.
Tutajuzana taarifa na mipango mingine"

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.