Hamisa Mobeto Amuonesha Mwanaye baada ya kufikisha miezi 6, Picha 3 Kali - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hamisa Mobeto Amuonesha Mwanaye baada ya kufikisha miezi 6, Picha 3 Kali

Bet Sasa
Mwanamitindo Hamisa Mobeto ambaye sasa ni mama, amepost picha za mtoto wake huyo wa kike aliyefikisha umri wa miezi 6.
mobetto
Mobeto ambaye amezaa na Dj mkongwe nchini, Majay amepost picha za mtoto huyo Instagram na kuandika;
mtoto wa hamisa-3
“Happy six month my little mermaid I love you Mwanangu #GodWin @Misfansy @Misfansy
#cutekidsclub”.

mtoto wa hamisa-1
Kwenye picha nyingine ameandika; “Mapozi sasa bint Majey
@misfansy @misfansy My mermaid”.

mtoto wa hamisa-2
Hivi karibuni mrembo huyo aliyewahi kushiriki miss Tanzania, alisema kuwa baadaa ya kujifungua sasa amerudi kwenye kazi yake ya mitindo na anaimudu vizuri bila kuathiri upande wowote. Alikuwa akikanusha ile kasumbumba kuwa mwanamke akizaa basi anakuwa mzee.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.