Dk. Cheni Aipasukia Serikali Ijayo, Soma Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Dk. Cheni Aipasukia Serikali Ijayo, Soma Hapa

MUIGIZAJI nguli nchini,Mahsein Awadh Said ‘Dk Cheni’ hivi karibuni ametoa ya moyoni kwa kusema kuwa serikali
ijayo iache mambo ya blabla bali itimize ahadi ambazo imekuwa ikitoa kwa wasanii ikiwa ni pamoja na kulinda haki
na masilahi yao.
Akizungumzia jinsi alivyouona uchaguzi, Dk Cheni alisema ameridhika na matokeo lakini akatoa rai kwa wale waliochaguliwa kuwaangaili wasanii kwa jicho la pili ili nao waweze kunufaika kwa kazi zao.
“Wakati wa blaablaa umepita, waliyoahidi kuhusu wasanii wayafanyie kazi, tunataka kunufaika na kile tunachokifanya, naamini serikali itaundwa na watu makini na kero zetu zitashughulikiwa ipasavyo,” alisema Dk. Cheni.
Chanzo: GPL

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.