Diamond Na Mafikizolo Kushoot Video Ya Collabo Yao Ya 2014, Mwezi Ujao - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond Na Mafikizolo Kushoot Video Ya Collabo Yao Ya 2014, Mwezi Ujao

Mwaka jana (2014) mwezi June, Diamond Platnumz na kundi la Mafikizolo kutoka Afrika Kusini waliingia studio kufanya collabo ambayo haikuwahi kutoka. Mafikizolo ndio walioomba kufanya collabo hiyo 
mondi na mafikizolo
Kama ulikuwa umeshakata tamaa kutokana na muda mrefu kupita, zaidi ya mwaka bila kusikia chochote kuhusu collabo hiyo, habari njema kutoka kwa mshindi wa tuzo ya MTV EMA Worldwide Act Africa/India, Diamond ni kuwa mwezi ujao ndio wanashoot video ya wimbo huo.
mafikimondi
Diamond alikuwa akimjibu shabiki mmoja Twitter aliyeuliza kuhusu collabo hiyo, kupitia session ya Twitterview ya MTV Base.
Platnumz ameshafanya collabo nyingi na wasanii wengi wakubwa wa Afrika na nje pia ambazo bado hazijatoka.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.